Sunday, February 8, 2009

JE MNAWAKUMBUKA HAWA,PLEASE NAOMBA MAJINA YAOKwa dondoo tuu,huyu ndio ndio celebrity ambaye alikuja kupotea kabisa kwenye ulimwengu wa macelebrity,anavuta sana bangi huyu dada...

3 comments:

  1. nadhani wa kati ni mama salma kikwete...ni hilo tu mdau!!!!

    ReplyDelete
  2. i js love to look at these tanzanian beautiful girls, siwakumbuki ila nnachokiona hapa ni warembo furani

    ReplyDelete
  3. Wa kwanza ni Angela Damas,wa kati ni Basila Mwanukuzi na wa chini ni Sylvia Bahame.

    ReplyDelete