Wednesday, March 13, 2013

Mambo ya Gesi Mtwara yaleta kizaazaa!!

Maandanmo makubwa yaliyafinyika Mtwara Mjini kupinga ujenzi wa bomba la gesi kutoka MnaziBay Mtwara kuelekea Dar es salaam. Hali hii imeleta mstuko mkubwa kwa serikali ya Tanzania hali kulazimika waziri mkuu Peter Mizengo Pinda kwenda kutafuta suluhu ya jambo hili. Lakini mpaka sasa hivi hali bado ni tete sana!! More news to come!!

No comments:

Post a Comment