Wednesday, October 13, 2010

WAMUONA JK...SPANA(GLASS) MKONONI...!!


HUYU NDIE NTONDOLE MURJI...MANYABIASHARA WA KIHINDI MAARUFU SANA KANDA YA HUKU KUSINI...ALIWAHI KUWA MBUNGE MAENEO FLANI,LAKINI MPAKA LEO WATU WA HUKO HAWATAKI HATA KUMSIKIA.....TAFAKARI!!!

3 comments:

 1. hivi wewe sizinga unatuona sisi malofa???? huyo mtu ankubalika kweli kwa kweli na wewe si mtoto wa yule sinani mshenzi asiyokubalika ndo maana ameenguliwa..na huyo bwana alishangiliwa kama nini kwenye kikao hiyo usitudanganye watu wa mtwra tumeona na macho yetu

  ReplyDelete
 2. Hello Sizinga, could even thought you would appreciate for wat happened in that day as lot of people showed up and the message sent.I live in Cologne-Germany but have born mtwara and have a deep interest with mtwara as am part and parcel of mtwara but your blog z one sided cant give us a picture on wat is real happening there instead you have deem blamming the actual facts. Would love you give us the real phenomena on actual bases.Just try to visit michuzi blog you will love it and has gained alot of reputations coz of being epathy of each snario.Mtwara yetu na newala ni kwetu.
  'am proud to be born as makonde...........'

  ReplyDelete
 3. Mimi mwana newala-Mkunya ni uongo kusema hatumtaki hata kumsikia huyu NTONDOLE MURJI, amefanya mengi sana Newala au labda wewe unaishi Mtwara jimbo lililokawa la SINANI na hujuwi nini katufanyia. Huwezi kujua kwasababu mbunge wako aliyepita alikuwa ni kituko ndo maana akaishia kupata kura 650 tu.Murji kafanya mambo yafuatayo acha nikuhabarishe maana yake usipotaka kujua lakini funzo nimekupa.
  1. Murji alinunua gari la wagonjwa kitangari likiwa na nambari za usajili MT 2009.Lilikuwa ni ukombozi mkubwa sana kwa wana Newala.
  2.Aliweza kubadilisha eneo la wodi ya wazazi pale Newala.
  3.Aliweza lusaidia watoto wasio na uwezo wa kwenda shule za sekondari takriban 470 mi ndugu yangu akiwa ni mmoja wao na sasa anafundisha Mtunguru primary school.
  4.Aliweza kufadhili team mbalimbali za michezo kutoka tarafa zote enzi hiyo zikiwa 3 Newala, Kitangari na Chilangala.
  5.Aliweza kuvisaidia vyama vya msingi katika wilaya mzima tani 10 za sulphur kwa kila chama.

  Vp mbuge wako Sinani amekufanyaia nini katika kipindi cha miaka 5?

  1. Alisema bugeni matuta ya barababrani kutoka chalinze hadi Dodoma yaondolewe.....duuuu kazi ya Mh Maneno wa chalinze au Dr Mzeru wa Morogoro au Shabiby wa Gairo.........kikubwa alichokifanya ni kubadili gari lake kutoka rangi ya silver metalic na kuiweka rangi ya Gold ili kutoa nuksi ya kukosa ubunge.

  Wana Newala tunapenda sana Murji kuliko hata Mkuchika ambaye nayeye amekuwa kama Sinani wa huko kenu Mtwara.

  MWALIMU-KAZUMARI
  LIDUMBE MTONI.

  ReplyDelete